Mary Ambi

article placeholder

Ukipenda penda

Ni kama kikohozi, Ndilo nilowasikia wakisema, Magwiji wa sanaa na mistari, Nayo lizidisha kuchemua, Harufu yake ya manukato. Koo liwasha, mikwaruzo- Kuk...
article placeholder

Eeh Nchi Yangu

Eeh nchi yangu, taifa usoambilika, Wewe ulotokwa na machozi kwa kitambo kirefu, Uloyapangusa nayo yakazidi tiririka,wala funzo weye hujapata. Nchi na mama ...

Mary Ambi

Mary is a political scientist graduate, with a keenness for spoken word for it gives her the next set of words and a passion for the written word!